Banner Top
Banner Content

 

Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili

nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha

Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini

ulikonitoa ni siri ya moyo matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu

Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba

Hata shukurani zangu ni kwako
shukrani zangu ni kwako
na shukurani zangu ni kwako
shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh

aibu umefuta fedheha umefuta
umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae

nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea

ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba

 

0 Comments

Leave a Comment

LATEST POSTS

2018 best fashion trends

Magazines List

ADVERTISEMENT

Share your story

Quote of the day

Education is the passport to the future, for tomorrow belongs to those who prepare for it today.

Malcolm X

Picture of the week

Archivies

Get more stuff

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.

Thank you for subscribing.

Something went wrong.

FOLLOW US

Skip to toolbar